Mabadiliko ya eneo la usaili wa vitendo kada ya Mtakwimu Daraja ii
Mabadiliko ya eneo la usaili wa vitendo kada ya Mtakwimu Daraja ii, Waombaji kazi wote walioitwa kwenye usaili wa vitendo kada ya Mtakwimu II (Statistician II) ambayo mwajiri wake ni Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya eneo la usaili wa vitendo.
Mabadiliko ya eneo la usaili
Waombaji kazi wote walioitwa kwenye usaili wa vitendo kada ya Mtakwimu II (Statistician II) ambayo mwajiri wake ni Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya eneo la usaili wa vitendo.

Mabadiliko ya eneo la usaili
Usaili wa vitendo utafanyika tarehe 05.05.2025 katika Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA) – Dar es Salaam badala ya Chuo cha Takwimu Mashariki Mwa Afrika (EASTC) kama ilivyoelekezwa kwenye tangazo la awali.
Aidha,maelekezo mengine pamoja na ratiba ya usaili wa mahojiano itabaki kama ilivyo kwenye tangazo la awali la kuitwa kwenye usaili.
Imetolewa na :
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
MABADILIKO YA ENEO LA USAILI KADA YA MTAKWIMU II