Nafasi za Kazi Barrick Tanzania – Nafasi 36, Aprili 2025
Barrick Tanzania ni moja ya kampuni zinazoongoza kwa uchimbaji wa dhahabu nchini Tanzania, ikiendesha migodi ya Bulyanhulu na North Mara. Migodi hii ni miongoni mwa wachangiaji wakubwa wa uchumi wa taifa kwa kutoa fursa za ajira na kuchochea maendeleo ya jamii zinazozunguka migodi hiyo.
Barrick Tanzania mara kwa mara hutangaza nafasi za ajira katika idara mbalimbali kama vile uchimbaji, uhandisi, usindikaji, fedha, rasilimali watu, na nyinginezo. Nafasi hizi zinahusu viwango tofauti vya uzoefu — kuanzia kwa wahitimu wapya hadi nafasi za juu za usimamizi — hivyo kutoa fursa kwa kila kundi la watafuta ajira.

Nafasi za Kazi Barrick
Sekta ya madini ni yenye ushindani mkubwa, hivyo ni muhimu kwa waombaji kuwa na sifa stahiki, ujuzi wa kipekee, na uzoefu unaohitajika. Hata hivyo, kwa juhudi na bidii, mtu anaweza kujenga taaluma yenye mafanikio ndani ya sekta hii inayokua kwa kasi.
Nafasi za Kazi Barrick Tanzania – Aprili 2025
Soma maelezo kamili ya kila nafasi kupitia kiunganishi kilichoambatanishwa:
- Driver – 3 Posts
- Exploration Geology Technician – 3 Posts
- Exploration Administrator
- Geological Assistant
- Mine Geologist
- Geotechnical Technician
- Geological Technician
- Graduate Accountant
- Graduate IT Engineer
- Graduate Geologist
- Graduate Mining Engineer
- Graduate Metallurgist
- Graduate Mechanical Engineer
- Graduate Environmental Officer
- Graduate Human Resources
- Graduate Human Resources Information Systems
- Graduate Supply Chain
- Graduate Mine Surveyor
- Graduate Geotechnical Engineer
- Graduate Community Officer
- Graduate Safety Officer
- Graduate Electrical Engineer
- Geological Assistant – 5 Posts
- Vertical Transport Operator III – 3 Posts
- IPT Students Vacancy at Barrick
- IPT Student at Barrick
Jinsi ya Kujiandaa na Kutuma Maombi
Soma Maelezo ya Kazi:
Hakikisha umeelewa vizuri mahitaji na majukumu ya kila nafasi kabla ya kuomba.
Andaa Maombi Yako:
Tunga CV iliyo katika muundo mzuri, ikionyesha ujuzi, uzoefu, na sifa zako muhimu. Andika barua ya maombi yenye mvuto, ikieleza kwa nini unapenda nafasi hiyo na jinsi unavyokidhi mahitaji ya kazi.
Tuma Maombi Yako:
Fuata maelekezo yaliyotolewa kwenye tovuti rasmi ya Barrick Gold Corporation au kwenye jukwaa la ajira husika. Hii inaweza kuhusisha kupakia CV yako, barua ya maombi, au kujaza fomu ya maombi mtandaoni.
Endelea Kufuatilia Taarifa Mpya
Ili uwe una habari za hivi punde kuhusu nafasi mpya za kazi, tembelea mara kwa mara:
Tovuti rasmi ya Barrick Gold Careers
Pia, fuatilia mitandao yao ya kijamii kwa matangazo ya kazi au taarifa muhimu.
Nafasi Nyingine:
Tags: Nafasi za Kazi Barrick