dominicbaitani

rss feed Author's Website

dominicbaitani's Latest Posts

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MDAs NA LGAs 28-04-2025

Filed in Nafasi za Kazi by on May 2, 2025 0 Comments
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MDAs NA LGAs 28-04-2025

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MDAs NA LGAs 28-04-2025, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Wizara, Idara zinazo jitegemea, Wakala za Serikali, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa (MDAs & LGAs) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi ishirini […]

Continue Reading »

TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE 29-04-2025

Filed in Nafasi za Kazi by on May 2, 2025 0 Comments
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE 29-04-2025

TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE 29-04-2025, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Manispaa ya Temeke kuomba nafasi ya kazi iliyotajwa hapo chini, baada ya kupokea kibali chenye Kumb. Na. FA. 228/613/01F/100 cha tarehe 13 Machi, 2025 kutoka kwa Katibu […]

Continue Reading »

Serikali Yaongeza Mishahara Kwa Watumishi wa Umma 35.1%

Filed in Forum by on May 1, 2025 0 Comments
Serikali Yaongeza Mishahara Kwa Watumishi wa Umma 35.1%

Singida, Mei 1, 2025 – Katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliyofanyika kitaifa mkoani Singida, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza nyongeza ya kima cha chini cha mshahara kwa Watumishi wa Umma kwa asilimia 35.1 kuanzia mwezi Julai 2025. Rais Samia alisema nyongeza hii ni sehemu ya juhudi […]

Continue Reading »

Nyongeza Ya Mishahara Sekta Binafsi Bodi inapitia

Filed in Forum by on May 1, 2025 0 Comments
Nyongeza Ya Mishahara Sekta Binafsi Bodi inapitia

Katika kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani leo Mei 1, 2025, iliyofanyika katika Mkoa wa Singida, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza nyongeza kubwa ya mshahara kwa Watumishi wa Umma, huku pia akigusia hatua zinazochukuliwa kuboresha hali ya Wafanyakazi wa Sekta Binafsi. Nyongeza kwa Watumishi wa Umma Rais Samia […]

Continue Reading »

Viwango Vipya vya Mishahara serikalini 2025 watumishi wa Umma

Filed in Forum by on May 1, 2025 0 Comments
Viwango Vipya vya Mishahara serikalini 2025 watumishi wa Umma

Viwango Vipya vya Mishahara serikalini 2025 watumishi wa Umma, Viwango vya Mishahara serikalini 2025 (TGS, PHTS, na PSS) Marekebisho haya yanayohusu mishahara yameainishwa katika Waraka wa Watumishi wa Serikali Na. 1 wa mwaka 2015, ambao umesasishwa na viambatanisho vyake kuanzia Na. 1 hadi 11. Vigezo vya malipo vimezingatia elimu ya mtumishi, muda wa mafunzo, na ujuzi maalum […]

Continue Reading »

Mfano wa Barua (Sample) Kutuma Maombi JWTZ

Filed in Forum by on May 1, 2025 0 Comments
Mfano wa Barua (Sample) Kutuma Maombi JWTZ

Angalia Mfano wa Barua (Sample) Kutuma Maombi JWTZ, Mfano wa Barua ya Maombi ya Kajiunga na Jeshi la JWTZ. Hii ni barua ya maombi ya kujiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), inayofuata mwongozo uliotolewa katika tangazo rasmi la nafasi za kuandikishwa jeshini. Barua hii inaandikwa kwa mkono na kuelekezwa kwa Mkuu […]

Continue Reading »

Tangazo la ajira JWTZ 2025 Nafasi Za Kujiunga Jeshini

Filed in Fursa Za Ajira, Nafasi za Kazi by on May 1, 2025 0 Comments
Tangazo la ajira JWTZ 2025 Nafasi Za Kujiunga Jeshini

Hili ni Tangazo la ajira JWTZ 2025 Nafasi Za Kujiunga Jeshini, pia tumekuandalia makala hii ya Nafasi za kazi jwtz 2025 kwene pdf download. TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatangaza nafasi za kuandikishwa jeshini kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu kuanzia Sekondari hadi elimu ya juu. […]

Continue Reading »

Sifa za kujiunga JWTZ 2025 Vigezo na Utaratibu

Filed in Sifa by on May 1, 2025 0 Comments
Sifa za kujiunga JWTZ 2025 Vigezo na Utaratibu

Sifa za kujiunga JWTZ 2025 Vigezo na Utaratibu, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linawakaribisha vijana wa Kitanzania wenye nia, uzalendo na uwezo wa kulihudumia taifa kwa moyo mmoja. Kujiunga na JWTZ si tu heshima bali ni wito wa kulinda na kutumikia nchi. Ili kuhakikisha jeshi linaendelea kuwa na watu wenye viwango bora, […]

Continue Reading »