Kuitwa Kazini
TANGAZO LA KUITWA KAZINI WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA (TFS) NA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI (TAWA) 30-04-2025

TANGAZO LA KUITWA KAZINI WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA (TFS) NA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI (TAWA) 30-04-2025, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 06-03-2025 na tarehe 28-03-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyo […]