Nafasi za Kazi
Nafasi za Kazi NBC Bank – Nafasi 7, Mei 2025

Benki ya NBC (National Bank of Commerce – Tanzania) ni mojawapo ya benki za biashara zilizoidhinishwa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT). NBC inatoa huduma mbalimbali za kifedha kwa wateja binafsi, wafanyabiashara, na makampuni. Kwa miaka mingi, NBC imeendelea kuwa mwajiri mkubwa, ikitoa fursa mbalimbali kwa wataalamu wenye ujuzi na uzoefu. NBC hutangaza nafasi mbalimbali […]
Nafasi 3 za Kazi – Geita Gold Mine (GGM), Mei 2025

Nafasi 3 za Kazi – Geita Gold Mine (GGM), Mei 2025, Geita Gold Mine (GGM), tawi la kampuni ya AngloGold Ashanti, ni moja ya migodi inayoongoza kwa uzalishaji wa dhahabu nchini Tanzania, iliyopo katika eneo la dhahabu la Ziwa Victoria, mkoa wa Mwanza. Mgodi huu umechangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya kiuchumi ya Tanzania kwa […]
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MDAs NA LGAs 28-04-2025

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MDAs NA LGAs 28-04-2025, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Wizara, Idara zinazo jitegemea, Wakala za Serikali, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa (MDAs & LGAs) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi ishirini […]
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE 29-04-2025

TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE 29-04-2025, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Manispaa ya Temeke kuomba nafasi ya kazi iliyotajwa hapo chini, baada ya kupokea kibali chenye Kumb. Na. FA. 228/613/01F/100 cha tarehe 13 Machi, 2025 kutoka kwa Katibu […]
Tangazo la ajira JWTZ 2025 Nafasi Za Kujiunga Jeshini

Hili ni Tangazo la ajira JWTZ 2025 Nafasi Za Kujiunga Jeshini, pia tumekuandalia makala hii ya Nafasi za kazi jwtz 2025 kwene pdf download. TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatangaza nafasi za kuandikishwa jeshini kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu kuanzia Sekondari hadi elimu ya juu. […]