Usaili

Majina Ya Walioitwa kwenye mafunzo ya jeshi la Zimamoto na Uokoaji 2025

Filed in Usaili by on May 3, 2025 0 Comments
Majina Ya Walioitwa kwenye mafunzo ya jeshi la Zimamoto na Uokoaji 2025

Majina Ya Walioitwa kwenye mafunzo ya jeshi la Zimamoto na Uokoaji 2025 (Usaili Jeshi la Zimamoto).  JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI. Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linapenda kuwatangazia waombaji wote walioteuliwa kuwa wamechaguliwa kuhudhuria mafunzo ya Uaskari ngazi ya Konstebo. Mafunzo haya yatafanyika katika Chuo cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kilichopo Chogo, Wilaya ya […]

Continue Reading »

Matokeo ya usaili wa kuandika uliofanyika Tarehe 25/04/2025

Filed in Usaili by on May 2, 2025 0 Comments
Matokeo ya usaili wa kuandika uliofanyika Tarehe 25/04/2025

Matokeo ya usaili wa kuandika uliofanyika Tarehe 25/04/2025, Wasailiwa wote waliochaguliwa kuendelea na hatua zinazofuata wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho. Majina Ya Matokeo ya usaili Tarehe 25/04/2025 VOCATIONAL TEACHER II – (AQUACULTURE AND FISH PROCESSING) VOCATIONAL TEACHER II – […]

Continue Reading »

Mabadiliko ya eneo la usaili wa vitendo kada ya Mtakwimu Daraja ii

Filed in Usaili by on May 2, 2025 0 Comments
Mabadiliko ya eneo la usaili wa vitendo kada ya Mtakwimu Daraja ii

Mabadiliko ya eneo la usaili wa vitendo kada ya Mtakwimu Daraja ii, Waombaji kazi wote walioitwa kwenye usaili wa vitendo kada ya Mtakwimu II (Statistician II) ambayo mwajiri wake ni Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya eneo la usaili wa vitendo. Mabadiliko ya eneo la usaili Waombaji kazi wote walioitwa […]

Continue Reading »