Angalia Mfano wa Barua (Sample) Kutuma Maombi JWTZ, Mfano wa Barua ya Maombi ya Kajiunga na Jeshi la JWTZ. Hii ni barua ya maombi ya kujiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), inayofuata mwongozo uliotolewa katika tangazo rasmi la nafasi za kuandikishwa jeshini. Barua hii inaandikwa kwa mkono na kuelekezwa kwa Mkuu […]
Continue Reading »