Tag: Mishahara Kwa Watumishi wa Umma
Serikali Yaongeza Mishahara Kwa Watumishi wa Umma 35.1%

Singida, Mei 1, 2025 – Katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliyofanyika kitaifa mkoani Singida, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza nyongeza ya kima cha chini cha mshahara kwa Watumishi wa Umma kwa asilimia 35.1 kuanzia mwezi Julai 2025. Rais Samia alisema nyongeza hii ni sehemu ya juhudi […]