Tag: Mishahara Sekta Binafsi

Nyongeza Ya Mishahara Sekta Binafsi Bodi inapitia

Filed in Forum by on May 1, 2025 0 Comments
Nyongeza Ya Mishahara Sekta Binafsi Bodi inapitia

Katika kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani leo Mei 1, 2025, iliyofanyika katika Mkoa wa Singida, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza nyongeza kubwa ya mshahara kwa Watumishi wa Umma, huku pia akigusia hatua zinazochukuliwa kuboresha hali ya Wafanyakazi wa Sekta Binafsi. Nyongeza kwa Watumishi wa Umma Rais Samia […]

Continue Reading »