Tag: NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE 29-04-2025

TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE 29-04-2025, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Manispaa ya Temeke kuomba nafasi ya kazi iliyotajwa hapo chini, baada ya kupokea kibali chenye Kumb. Na. FA. 228/613/01F/100 cha tarehe 13 Machi, 2025 kutoka kwa Katibu […]