Tag: NAFASI ZA KAZI MDAs NA LGAs
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MDAs NA LGAs 28-04-2025

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MDAs NA LGAs 28-04-2025, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Wizara, Idara zinazo jitegemea, Wakala za Serikali, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa (MDAs & LGAs) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi ishirini […]