Tag: Nafasi za Kazi NBC Bank
Nafasi za Kazi NBC Bank – Nafasi 7, Mei 2025

Benki ya NBC (National Bank of Commerce – Tanzania) ni mojawapo ya benki za biashara zilizoidhinishwa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT). NBC inatoa huduma mbalimbali za kifedha kwa wateja binafsi, wafanyabiashara, na makampuni. Kwa miaka mingi, NBC imeendelea kuwa mwajiri mkubwa, ikitoa fursa mbalimbali kwa wataalamu wenye ujuzi na uzoefu. NBC hutangaza nafasi mbalimbali […]