Tag: Viwango Vipya Vya Mishahara
Viwango Vipya vya Mishahara serikalini 2025 watumishi wa Umma

Viwango Vipya vya Mishahara serikalini 2025 watumishi wa Umma, Viwango vya Mishahara serikalini 2025 (TGS, PHTS, na PSS) Marekebisho haya yanayohusu mishahara yameainishwa katika Waraka wa Watumishi wa Serikali Na. 1 wa mwaka 2015, ambao umesasishwa na viambatanisho vyake kuanzia Na. 1 hadi 11. Vigezo vya malipo vimezingatia elimu ya mtumishi, muda wa mafunzo, na ujuzi maalum […]