Tag: Walioitwa kwenye mafunzo ya jeshi la Zimamoto
Majina Ya Walioitwa kwenye mafunzo ya jeshi la Zimamoto na Uokoaji 2025

Majina Ya Walioitwa kwenye mafunzo ya jeshi la Zimamoto na Uokoaji 2025 (Usaili Jeshi la Zimamoto). JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI. Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linapenda kuwatangazia waombaji wote walioteuliwa kuwa wamechaguliwa kuhudhuria mafunzo ya Uaskari ngazi ya Konstebo. Mafunzo haya yatafanyika katika Chuo cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kilichopo Chogo, Wilaya ya […]